BREAKING : KIFO CHA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
4 years ago
Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr john Pombe Magufuli amefariki dunia majira ya saa 12 jioni, makamu wa Rais , mama yetu Samia Suluhu ametangaza taarifa hizo za kifo hicho.