News

BREAKING NEWS

”Tumempoteza Kiongozi wetu shupavu Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Dr. JOHN POMBE MAGUFULI, alilazwa tarehe 06 march mwaka huu katika Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kwa tatizo la moyo la mfumo wa umeme ambalo alikua nalo kwa zaidi ya miaka 10”

”Rais Magufuli amefariki kwa maradhi ya moyo katika Hospital ya Mzena, alilazwa 06 march katika hospitali ya jakaya kikwete na kuruhusiwa march 7 kuendele na majukumu yake na ilipofika march 14 alijisikia vibaya na kukimbizwa hospital ya Mzena ambapo aliendelea na matibabu hadi umauti ulipomfika. Nchi yetu itakuwa na maombolezo ya siku 14 na bendera zitapepea nusu mlingoti””””’ Makamu wa Rais Mama samia suluhu.

About the author

Jackie's Empire