Audio

Nandy Ft Sauti Sol – Kiza Kinene | AUDIO

Download, Listen, and Share.

A top Tanzanian female artist, singer, and songwriter, Nandy came through with a brand new banger titled Party, produced by Kimambo. Enjoy the good music from jackiesempire.com

Nandy msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki ametoa wimbo mpya akiwashirikisha kundi mahiri la musiki kutoka nchini Kenya Sauti Sol.

Wimbo unaitwa “KIZA KINENE” unazungumzia wapenzi wawili walio achana kwa sababu ya maneno ya watu.

QUOTABLE LYRICS

Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua… (Masala)
Nimezidisha chenji, kimeota nyasi… (Mbaghala)
Nilipita dirisha nafasi kuigombania… (Nikabanwa)
Kumbe basi limejaa, na mlango upo

Haioni mboni yangu (Kiza kinene)
Kibatari utambi umetumbukia (Kiza kinene)
Yaila ghidira yangu (Kiza kinene)
Nimepekechwa nguzo niliyoegemea (Kiza kinene)
Ah… aah

AUDIO MP3 : Nandy Ft Sauti Sol – Kiza Kinene | AUDIO

Tags

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Back to top button