Gospel

Reuben Kigame Ft Sifa Voices X Gloria Muliro – Huniachi | AUDIO

Download, Listen, and Share.

QUOTABLE LYRICS

Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi naiweka imani kwako baba

Uliwalinda wana Israeli kule Jangwani
Ukamtoa danieli kutoka tundu la simba
Wewe huwainua na wanyonge siku zote
Watuepusha na hatari kila siku usifiwe

DOWNLOAD

Listen to “Reuben Kigame Ft Sifa Voices X Gloria Muliro – Huniachi ” Below;

AUDIO MP3 : Reuben Kigame Ft Sifa Voices X Gloria Muliro – Huniachi | AUDIO

About the author

Jackie's Empire