News

JACKIE’S CAFE “we give out the best”

Kwamahitaji ya chakula kwenye sherehe na shughuli zote usisite kutuona sisi kwa huduma nzuri sana na ya kipekee zaidi kwa kuhakikisha mteja anapata kila analolihitaji tuko kwa ajiri ya kukuhudumia ndugu mteja wetu. Hii ni ndani ya kigoma Mjini peke yake ndio tunapatikana kwa sasa tuna shukuru CCM KIGOMA MJINI na wengine wengi bila kusahau MAC-REN SPECIALIZED POLYCLINIC kwa kutupa nafasi ya kuwalisha katika vikao vyao kwa mwezi huu wa september 2022.

HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA JACKIE’S CAFE

  • CHAKULA
  • VINYWAJI
  • BREAK FAST
  • NA VINGINE VINGI KULINGANA NA MAHITAJI YA MTEJA

Karibuni wote tuwahudumie kwa huduma bora tupigie namba zifuatazo :

  • 0712-629276
  • 0658-512138
  • 0768-047918

About the author

Jackie's Empire