News

Nasreddine Nabi aahidi makubwa kesho

Download, Listen, and Share.

Kocha mkuu wa Young African Sports Club Nasreddine Nabi ameahidi mambo mazuri kesho katika mchezo wao wa marudiano na timu ya Rivers kutoka Nigeria katika kuitafuta nafasi ya kufuzu hatua inayofuata ya nusu fainali.

hivi ndivyo kocha mkuu alivyosema wakati wa mahojiano na vyombo vya habari vya hapa nchini ” NIMEKAA NA WACHEZAJI NA TUMEKUBALIANA KUWA KAZI NZURI TULIOIFANYA NIGERIA ITAKUWA HAINA MAANA KAMA HATUTASHINDA MCHEZO WA KESHO“.

Watch video below

About the author

Jackie's Empire