News

Predator Fiston Mayele na Goli 50

Download, Listen, and Share.

Uongoozi wa Yanga leo wamemkabidhi mshambuliaji wao hatari Fiston Mayele jezi maalum ambayo inaonyesha idadi ya magoli aliyoyafunga tangu kutua kwake kwa wana jangwani hao wenye maskani yao mitaa ya jangwani jijini Dar es salaam.

Watch the video below

About the author

Jackie's Empire