News

SARATOGA INVESTMENT Co.

Dowanload , Listen and Share.

Karibu Saratoga Line P.O BOX 572 UJIJI – KIGOMA , kwa huduma bora kabisa za usafirishaji wa Abiria na Mizigo. THE PRIDE OF KIGOMA

Wengi kama mnavyojua Saratoga Line ndio sehemu sahihi ya kupata mahitaji yako ya usafiri hii haina shaka kabisa kwani uhakika wa safari na usalama wa mali zako ni sehemu ya usimamizi ili kuhakikisha mteja wetu anapata huduma iliyobora wakati wote.

Mbali na hapo Saratoga Line tumeshusha Gari Mpya (BASI MPYA) kabisa zenye ubora wa juu zaidi kuwa hudumia wana KIGOMA kwa kuzingatia uhitaji wa wateja wetu na tunatarajia kuanza safari mnamo Tarehe 21 mwezi huu wa 8 mwaka 2023 kwa safari za KIGOMA TO DAR ES SALAAM NA DAR ES SALAAM TO KIGOMA , hii si ya kukosa kwa NAULI ya TSH 80,000/= KWA KILA ABIRIA , hii inaenda sambamba na huduma ifuatazo FULL A/C , FRUITS NA CAKE.

Lakini mbali na hapo huduma nyingine zinaendelea kama kawaida kwa upande wa abiria BUS NO 2 kiasi ni kile kile cha TSH – 60000/= kama ilivyozoeleka utaratibu wetu ni ule ule wa kukufanya mteja wetu uhisi utofauti katika safari zetu.

Kwa mawasiliano zaidi fika ofisi za SARATOGA LINE zilizopo karibu yako au kutumia mawakala wao waliosambaa maeneo tofauti tofauti Kigoma mjini na Dar es Salaam au upige namba zifuatazo kwa msaada zaidi.

Pia unaweza kutembelea kwenye mitandao yao ya kijamii , www.saratoga.co.tz na Instagram Saratogaline_official

About the author

Jackie's Empire