Download, Listen, and Share.
Timu ya wananchi Yanga imefanya mazoezi yao ya mwisho kuelekea mechi yao ya kesho zidi ya timu ya southafrica galaxy mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa majira ya jioni kwa Tanzania itakuwa ni saa 10:00 jioni na itakuwa live kupitia Azam 1HD.