News

TAZAMA MAZOEZI YA MWISHO KABLA YA KUWAVAA MARUMO/KOCHA KAZE ATOA NENO.

Download, Listen, and Share.

Leo ndio siku nyingine ya kivumbi na jasho pale south africa katika mchcezo utakao kutanisha Mabingwa wapya na watetezei wa kombe la NBC tanzania ligi kuu kwa mwaka 2022/2023 na club ya Mallumo Gallants.

Mchezo huo unatarajiwa kufanyika Uwanja wa Royal Bafokeng mjini, Phokeng Jijini Rustenburg nchini Afrika Kusini kuanzia Saa 1:00 usiku na kuonyeshwa LIVE na Televisheni ya ZBC 2 leo Jumatano.
Yanga wanatakiwa kuulinda ushindi wao wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumatano iliyopita Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mchezo mwingne wa marudiano wa Nusu Fainali utafuatia Saa 4:00 usiku Jumatano Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers kati ya wenyeji, USM Alger na ASEC Mimosas ambazo mechi ya kwanza zilitoka sare ya 0-0 Jumatano Uwanja wa Bouaké, Ivory Coast.
Ikumbukwe Fainali za Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu zitachezwa Mei 28 na Juni 3.

About the author

Jackie's Empire